-
Marko 5:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Baada ya Yesu kuvuka tena katika mashua na kurudi hadi ule ukingo wa upande wa pili umati mkubwa ukakusanyika pamoja kwake; naye alikuwa kando ya bahari.
-