- 
	                        
            
            Marko 5:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
23 akamsihi sana mara nyingi, akisema: “Binti yangu mdogo yuko katika hali mahututi. Uje tafadhali uweke mikono yako juu yake ili apate kupona na kuishi.”
 
 -