-
Marko 8:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa hiyo akapiga kite sana rohoni mwake, na kusema: “Kwa nini kizazi hiki chatafuta sana ishara? Kwa kweli mimi nasema, hakuna ishara itakayopewa kwa kizazi hiki.”
-