-
Marko 9:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Na baada ya kupaaza kilio na kupatwa na mifurukuto mingi akatoka; naye mtoto akawa ni kama amekufa, hivi kwamba idadi kubwa zaidi kati yao walikuwa wakisema: “Amekufa!”
-