-
Marko 9:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Lakini yeyote yule akwazaye mmoja wa wadogo hawa waaminio, ingekuwa bora zaidi kwake ikiwa jiwe la kusagia kama lile lizungushwalo na punda lingewekwa kuzunguka shingo yake naye kwa kweli atupwe ndani ya bahari.
-