-
Marko 9:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Na ikiwa mguu wako wakufanya ukwazike, ukatilie mbali; ni bora zaidi kwako kuingia katika uhai ukiwa kilema kuliko kutupwa ukiwa na miguu miwili kuingia katika Gehena.
-