-
Marko 11:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Kwa kweli nawaambia nyinyi kwamba yeyote yule aambiaye mlima huu, ‘Inuliwa na utupwe ndani ya bahari,’ na hatii shaka moyoni mwake lakini ana imani kwamba yale asemayo yatatukia, itakuwa hivyo kwake.
-