-
Marko 12:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Daudi mwenyewe humwita yeye ‘Bwana,’ lakini yawaje kwamba yeye ni mwana wake?”
Na umati mkubwa ulikuwa ukimsikiliza kwa upendezi.
-