-
Marko 12:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Naye akaketi akitazama masanduku ya hazina na kuanza kuangalia jinsi umati ulivyokuwa ukitumbukiza fedha ndani ya masanduku ya hazina; na matajiri wengi walikuwa wakitumbukiza ndani sarafu nyingi.
-