-
Marko 14:65Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
65 Na wengine wakaanza kumtemea mate na kufunika uso wake wote na kumpiga kwa ngumi zao na kumwambia: “Toa unabii!” Na, wakimpiga makofi usoni, mahadimu wa mahakama wakamchukua.
-