-
Marko 16:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Kwa hiyo siku ya sabato ilipokuwa imepita, Maria Magdalene, na Maria mama ya Yakobo, na Salome wakanunua manukato kusudi waje kumpaka.
-