-
Luka 4:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Lakini jua lilipokuwa likitua, wale wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi ya namna mbalimbali wakawaleta kwake. Kwa kuweka mikono yake juu ya kila mmoja wao akawa awaponya.
-