-
Luka 6:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Ndipo Yesu akawaambia: “Nawauliza nyinyi watu, Je, yaruhusika kisheria siku ya sabato kutenda lililo jema au kutenda lililo baya, kuokoa au kuangamiza nafsi?”
-