-
Luka 6:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Na baada ya kutazama huku na huku kuwaelekea wote, akamwambia huyo mtu: “Nyoosha mkono wako.” Akafanya hivyo, na mkono wake ukaponywa.
-