-
Luka 6:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Naye akateremka pamoja nao na kuchukua kikao chake mahali penye usawa, na kulikuwa na umati mkubwa wa wanafunzi wake, na umati mkubwa wa watu kutoka Yudea yote na Yerusalemu na mkoa wa mwambao wa Tiro na Sidoni, waliokuja kumsikia na kuponywa magonjwa yao.
-