-
Luka 10:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Vitu vyote vimekabidhiwa kwangu na Baba yangu, na ya kwamba Mwana ni nani hakuna ajuaye ila Baba; na ya kwamba Baba ni nani, hakuna ajuaye ila Mwana, na yeye ambaye Mwana anapenda kumfunulia.”
-