Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 11:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Lakini ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu ninyi hutoa sehemu ya kumi+ ya mnanaa na mchicha na ya kila mboga nyingine za majani, lakini ninyi hupuuza haki na upendo kwa Mungu! Mambo hayo mlikuwa na wajibu wa kuyafanya, na bado kutoyaacha yale mengine.+

  • Luka 11:42
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 42 Lakini ole wenu nyinyi Mafarisayo, kwa sababu nyinyi hutoa sehemu ya kumi ya mnanaa na mchicha na ya kila mboga nyingine, lakini nyinyi hupita kando ya haki na upendo kwa Mungu! Mambo hayo mlikuwa chini ya wajibu kuyafanya, lakini mambo yale mengine kutoyaacha nje.

  • Luka
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 11:42

      Yesu—Njia, uku. 178

      Mnara wa Mlinzi,

      9/1/1988, uku. 24

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki