-
Luka 12:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Lakini hakika mimi nitawaonyesha nyinyi nani wa kumhofu: Mhofuni yeye ambaye baada ya kuua ana mamlaka ya kutupa ndani ya Gehena. Ndiyo, mimi nawaambia nyinyi, mhofuni Huyu.
-