-
Luka 12:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Lakini yeye ambaye hakuelewa na kwa hiyo akafanya mambo yanayostahili mapigo hakika atapigwa kwa machache. Kwa kweli, kila mtu ambaye alipewa mengi, mengi yatadaiwa kutoka kwake; na yeye ambaye watu wamweka katika usimamizi wa mengi, watadai zaidi kutoka kwake kuliko ilivyo kawaida.
-