-
Luka 12:54Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
54 Ndipo akaendelea kuuambia pia umati: “Wakati mwonapo wingu likizuka katika sehemu za magharibi, mara moja nyinyi husema, ‘Dhoruba inakuja,’ na huwa hivyo.
-