-
Luka 13:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Basi, je, haikuwa haki mwanamke huyu aliye binti ya Abrahamu, na ambaye Shetani alimshika akiwa amefungwa, tazama! miaka kumi na minane, afunguliwe kutoka kwenye kifungo hiki siku ya sabato?”
-