-
Luka 13:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Lakini yeye atasema na kuwaambia nyinyi, ‘Sijui nyinyi mwatoka wapi. Ondokeni kwangu, nyinyi nyote wafanyakazi wa ukosefu wa uadilifu!’
-