-
Luka 15:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Naye akiisha kuipata huwaita wanawake walio rafiki zake na jirani zake pamoja, akisema, ‘Shangilieni pamoja nami, kwa sababu nimeipata sarafu ya drakma niliyoipoteza.’
-
-
Luka 15:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Naye akiisha kuipata huwaita wanawake walio marafiki wake na majirani pamoja, akisema, ‘Shangilieni pamoja nami, kwa sababu nimeipata sarafu ya drakma niliyoipoteza.’
-