-
Luka 20:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Mojawapo zile siku alipokuwa akifundisha watu katika hekalu na kutangaza habari njema, makuhani wakuu na waandishi pamoja na wanaume wazee walikuja karibu,
-