-
Luka 20:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 “Jihadharini na waandishi ambao hutamani kutembea wakizunguka wamevaa kanzu nao hupendezwa na salamu katika mahali pa masoko na viti vya mbele katika masinagogi na mahali pa kutokeza zaidi sana kwenye milo ya jioni,
-