-
Luka 24:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa kuwa hao wanawake waliogopa sana na kuinamisha nyuso zao chini, wale wanaume wakawaambia: “Kwa nini mnatafuta yule Aliye hai kati ya wafu?
-
-
Luka 24:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa kuwa hao wanawake waliogopa sana na kuweka nyuso zao zikiwa zimegeuzwa kuelekea ardhi, wale wanaume wakawaambia: “Kwa nini mnatafuta yule Aliye hai miongoni mwa wafu?
-