-
Luka 24:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Akawaambia: “Ni mambo gani haya ambayo mnajadiliana kati yenu wenyewe mnapotembea?” Nao wakasimama tuli wakiwa na nyuso zenye huzuni.
-
-
Luka 24:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Akawaambia: “Ni mambo gani haya ambayo nyinyi mnajadiliana kati yenu wenyewe mtembeapo?” Nao wakasimama tuli wakiwa na nyuso zenye huzuni.
-