-
Yohana 3:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Lakini Yohana pia alikuwa akibatiza katika Ainoni karibu na Salimu, kwa sababu kulikuwa na kiasi kikubwa cha maji huko, na watu wakawa wakifuliza kuja na kubatizwa;
-