-
Yohana 6:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Siku iliyofuata umati waliokuwa wamesimama upande ule mwingine wa bahari wakaona kwamba hapakuwa na mashua hapo ila moja ndogo, na kwamba Yesu hakuwa ameingia ndani ya mashua pamoja na wanafunzi wake bali wanafunzi wake tu ndio waliokuwa wameondoka;
-
-
Yohana 6:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Siku iliyofuata umati uliokuwa umesimama kwenye upande ule mwingine wa bahari ukaona kwamba palikuwa hapana mashua hapo ila moja ndogo, na kwamba Yesu hakuwa ameingia ndani ya mashua pamoja na wanafunzi wake bali kwamba ni wanafunzi wake tu waliokuwa wameondoka;
-