-
Yohana 6:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa hiyo umati ulipoona kwamba Yesu hakuwa hapo wala wanafunzi wake, ukapanda mashua zao ndogo ukaja hadi Kapernaumu kumtafuta Yesu.
-