-
Yohana 6:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Yesu akawajibu na kusema: “Kwa kweli kabisa mimi nawaambia, Nyinyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula kutokana na mikate mkashiba.”
-