-
Yohana 6:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Yesu akawaambia: “Mimi ndio mkate wa uhai. Yeye ambaye huja kwangu hataona njaa hata kidogo, naye adhihirishaye imani katika mimi hatapatwa na kiu kamwe kabisa.
-