-
Yohana 7:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Kwa hiyo Yesu akapaaza kilio alipokuwa akifundisha katika hekalu na kusema: “Nyinyi mwanijua mimi tena mwajua natoka wapi. Pia, sikuja kwa uanzisho wangu mwenyewe, lakini yeye aliyenituma ni halisi, nanyi hammjui yeye.
-