-
Yohana 7:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Kwa kujibu wakamwambia: “Wewe pia si wa kutoka Galilaya, ndivyo? Chunguza uone kwamba hakuna nabii atakayeinuliwa kutoka Galilaya.”*
*Hati-mkono אBSys zaondoa mstari wa 53 hadi sura ya 8, mstari wa 11, ambayo husomwa (kukiwa na kubadilika-badilika fulani katika maandishi-awali mbalimbali na tafsiri za Kigriki) kama ifuatavyo:
-