-
Yohana 8:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa hiyo wakaendelea kumwambia: “Yuko wapi Baba yako?” Yesu akajibu: “Nyinyi hamnijui mimi wala Baba yangu. Kama mngenijua mimi, mngemjua Baba yangu pia.”
-