-
Yohana 8:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 Na kwa hiyo Yesu akaendelea kuwaambia Wayahudi waliokuwa wamemwamini: “Ikiwa nyinyi mwakaa katika neno langu, nyinyi kwa kweli ni wanafunzi wangu,
-