-
Yohana 8:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Wayahudi wakamwambia: “Sasa twajua una roho mwovu. Abrahamu alikufa, pia manabii; lakini wewe wasema, ‘Yeyote akishika neno langu, hataonja kifo kamwe hata kidogo.’
-