-
Yohana 8:57Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
57 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia: “Wewe hujafika umri wa miaka 50, na bado umemwona Abrahamu?”
-
-
Yohana 8:57Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
57 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia: “Wewe hujawa bado na miaka hamsini, na bado umemwona Abrahamu?”
-