-
Yohana 9:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Nao wakawauliza: “Je, huyu ni mwana wenu ambaye mnasema alizaliwa akiwa kipofu? Basi, imekuwaje kwamba anaona sasa?”
-
-
Yohana 9:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Nao wakawauliza: “Je, huyu ni mwana wenu ambaye mwasema alizaliwa kipofu? Basi, ni jinsi gani aona sasa?”
-