-
Yohana 9:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Akawajibu: “Tayari nimewaambia, na bado hamkusikiliza. Kwa nini mnataka kusikia tena? Je, ninyi pia mnataka kuwa wanafunzi wake?”
-
-
Yohana 9:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Yeye akawajibu: “Tayari nimewaambia, na bado hamkusikiliza. Kwa nini mwataka kusikia hilo tena? Nyinyi hamtaki kuwa wanafunzi wake pia, je, mwataka?”
-