-
Yohana 10:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Mtu aliyeajiriwa, ambaye si mchungaji na ambaye kondoo si wake mwenyewe, hutazama mbwa-mwitu akija na huacha kondoo na hukimbia—na mbwa-mwitu huwanyakua na huwatawanya—
-