-
Yohana 11:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Yesu akajibu: “Kuna saa kumi na mbili za nuru ya mchana, sivyo? Ikiwa yeyote atembea katika nuru ya mchana hajigongi dhidi ya kitu chochote, kwa sababu yeye huona nuru ya ulimwengu huu.
-