-
Yohana 11:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Huyo mtu aliyekuwa amekuwa mfu akatoka miguu na mikono yake ikiwa imefungwa vitambaa, na sura yake ilifungwa-fungwa kwa nguo. Yesu akawaambia: “Mfungueni mmwache aende.”
-