-
Yohana 13:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Yesu akamwambia: “Yeye ambaye ameoga hahitaji kuoshwa zaidi ya miguu yake, bali ni safi kotekote. Nanyi watu ni safi, lakini si nyinyi nyote.”
-