-
Yohana 13:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Kwa kweli kabisa mimi nawaambia nyinyi, Mtumwa si mkubwa zaidi kuliko bwana-mkubwa wake, wala yeye aliyetumwa si mkubwa zaidi kuliko yeye aliyemtuma.
-