-
Yohana 13:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Hata hivyo, hakuna hata mmoja kati ya wale waliokuwa wameketi mezani aliyejua amemwambia hili kwa nini.
-
-
Yohana 13:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Hata hivyo, hakuna hata mmoja wa wale wenye kuegama mezani aliyejua ni kwa kusudi gani alimwambia hili.
-