-
Yohana 14:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa kweli kabisa mimi nawaambia nyinyi, Yeye ambaye hudhihirisha imani katika mimi, huyo pia atafanya kazi ambazo mimi hufanya; naye atafanya kazi kubwa zaidi ya hizi, kwa sababu nashika njia yangu kwenda kwa Baba.
-