-
Yohana 14:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Kwa kujibu Yesu akamwambia: “Ikiwa yeyote anipenda mimi, atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi hakika tutakuja kwake na kufanya kao letu pamoja naye.
-