-
Yohana 15:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Lakini watafanya mambo yote haya dhidi yenu kwa ajili ya jina langu, kwa sababu hawamjui yeye aliyenituma.
-