-
Yohana 16:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Yesu alijua walikuwa wanataka kumuuliza swali, kwa hiyo akawaambia: “Je, mnauliziana habari miongoni mwenu wenyewe juu ya hili, kwa sababu nilisema, Baada ya muda kidogo hamtaniona, na, tena, baada ya muda kidogo mtaniona?
-